Faida za majani ya Stafeli
- Juisi yake hutibu kansa haraka na kwa ufanisi zaidi
- Ina nguvu mara 10,000 zaidi ya tiba ya mionzi katika kuziua seli za kansa
- Hutibu maumivu ya nyuma ya mgongo/low back pain
- Ni tiba ya asili ya maumivu ya mishipa, yasage majani yake mpaka yalainike kabisa kisha paka taratibu eneo la mshipa lililo na maumivu mara 2 kwa siku
- Hutibu maumivu ya jongo/gout
- Hurekebisha usawa wa kiasi cha damu sukari mwilini
- Huongeza kinga ya mwili
- Hudhibiti ukuwaji wa bacteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe
- Huongeza stamina ya mwili na kurahisisha kupona haraka unapokuwa mgonjwa
- Hutibu jipu na vivimbe
- Hukimbiza chawa

Majani ya Stafeli na Stafeli
No comments:
Post a Comment